Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera ya nini mkuu?
Hapa ni kupambana tu...
Humuoni Kichwa Kichafu anavyopambana?
Hujawaona akina Andjul, Cole, Mzee wa Ini, QUIGLEY na wengine wanavyopambana?
Kama unaweza ingia katika mpambano mkuu
Inavyoonekana hapa ni lazima kupambana...
Jisikie huru...ha ha haaaa !!!​
 
sawa mkuu.
ngoja nipime ubavu wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…