Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Asanteni, ninemaliza konyagi yangu na mbuzi katoliki
Kwema?
Nyagi kisichana au bapa?Asanteni, ninemaliza konyagi yangu na mbuzi katoliki
Kwema pia, unapotea sana wakati weekend nini shida?Kwema Vipi wewe.
BAPA mkuuNyagi kisichana au bapa?
Upo vizuri mkuu hapo weekend umeisindikiza vyema kabisaBAPA mkuu
Kwema pia, unapotea sana wakati weekend nini shida?
Pole na ubi-busy aiseeBusy ndugu yangu.
Kabisa ila kesho muniombee niamke mapema niwahi ibadaUpo vizuri mkuu hapo weekend umeisindikiza vyema kabisa
[emoji16][emoji16]... kwakua umemkumbuka Muumba ingali bado una bapa kichwani basi nae atakukumbuka kukuwezesha uwahi ibadani....Kabisa ila kesho muniombee niamke mapema niwahi ibada
[emoji122] [emoji122] [emoji122][emoji16][emoji16]... kwakua umemkumbuka Muumba ingali bado una bapa kichwani basi nae atakukumbuka kukuwezesha uwahi ibadani....