Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
1.David Beckham– Beckham Brand
Nahodha wa zamani wa England, David Beckham ni jina moja maarufu zaidi kwenye dunia ya soka. Staa huyo wa zamani wa Manchester United na Real Madrid amestaafu, lakini bado amekuwa na mvuto mkubwa na kupiga pesa za maana. Jina lake limekuwa nembo ya kibiashara na anaitumikia katika bidhaa mbalimbali kama magari, manukato, nyumba na sasa anamiliki timu yake mwenyewe. FA ya England walijaribu kuitumia nendo yake kushinda zabuni ya kuandaa fainali za Kombe la Dunia 2018 wakashindwa.