Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amepinga tetesi kwamba amekuwa akimshawishi mshambuliaji wa Barcelona na Argentina Lionel Messi, 31, kujiunga na klabu hiyo. (Manchester Evening News)
Mshambuliaji wa Argentina Mauro Icardi, 25, inajiandaa kutia saini mkataba mpya na Inter Milan licha ya vilabu kadhaa vya Ulaya kummezea mate ikiwemo Chelsea. (Calcio Mercato - in Italian)
Chelsea inataka kutumia fursa ya hali ya switafahamu ya inayokumba Real Madrid kuanzisha mazungumzo ya mkataba mpya na mshambuliaji wa Ubelgiji Eden Hazard
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.