Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1541140016066.jpg
 
Mwanamuziki Sir Elton John - ambaye ni shabiki wa Watford- mwezi uliyopita alimtumia ujumbe mfupi mwenyekiti wa wa klabu hiyo Scott Duxbury kumuomba amsajili kipa wa Burnley na England Tom Heaton, 32. (Daily Mirror)
 
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema hana mpango wa kumsajili kiunga hodari wa Arsenal kutoka Henrikh Mkhitaryan au mshambuliaji wa Gabon Pierre-Emerick Aubameyang, both 29, licha ya kufanya kazi nao katika klabu ya Borussia Dortmund. (Liverpool Echo
 
mazishi ya mmiliki wa klabu ya Leicester City aliyefariki kutokana na ajali ya ndege nje ya uwanja wa klabu hiyo nchini Uingereza yameanza kwao nchini Thailand.
Wanajeshi wa kifalme na jamaa za Vichai Srivaddhanaprabha walishiriki katika maandamano makubwa ya kusherehekea maisha yake yaliyofanyika kabla ya mazishi yake huko Bangkok,
Wachezaji wa Leicester City wanatarajiwa kusafiri nchini Thailand kwa mazishi baada ya mechi yao dhidi ya Cardiff.
 
Bilionea Vichai alifariki pamoja na wafanyikazi wake wawili, rubani wa ndege aliyokua akisafiria na abiria mmoja baada ya ndege hiyo kuanguka muda mfupi baada ya kupaa.
Walioshuhudia wanasema ndege hiyo ilikuwa tu imemaliza kuondoka uwanjani pale ilipoanza kuyumba na kuanguka na kuwaka moto.
Jamaa za Vichai Srivaddhanaprabha washiriki katika msafara wa wanajeshi kabla ya mazishi
 
Mazishi yake yataanza na kafara ya kuoga ya waumini wa kibudha ambayo yatafuatiwa na sherehe ya siku saba ya kidini.
Mwandishi wa BBC Jonathan Head, mashariki mwa Asia ambaye anafuatilia sherehe hizo anasema kuwa zinafanywa faraghani,
Ndugu na jamaa zake wanatarajiwa kuwasili wwakati wowote kuazia sasa
 
Back
Top Bottom