Nimekuelewa baba... [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Ooooh! Pole sana. Ni masalia ya wikiendi tu hayo...
Kuna vijana wasomi wamejaa huku mitaani wangependa mno kuja hapo panapokuboa...
Shukuru Mungu baby kuwa angalau una hapo panapokuboa...
Papende na chapa kazi kwa uadilifu mkubwa.
Nyenyekea na heshimu kila mtu...
Huku ukijua kuwa kazi hiyo ni mapito tu....
May be you are stressed out...
A good massage or meditation will do...
Nisubiri jioni!
Alikuwa kiboko...dah we acha tu namkubali iddi amin kupita maelezo
That's my girl....Nimekuelewa baba... [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Mkuu Ho Chi Minh, sioni likes zako kwangu mkuu...Ukipata like za huu uzi umekwisha!!!
Kaka ndio wifi huyu?That's my girl....
Thank you baby....
Afadhali. Alikuwa na hali mbaya sana. Mpaka alianza kuimba mapambio. Msalimie !!!Eeeh tuko nae,tuliamua kurudiana nae.
Haya salamu zimefika.Afadhali. Alikuwa na hali mbaya sana. Mpaka alianza kuimba mapambio. Msalimie !!!
Ndiye dada....Kaka ndio wifi huyu?
Kwa nini?Uko tayari kushinda njaa
ni kweli historia ya idd amin imepotoshwa ukitaka kujua ukweli usisikilize ya watu we nenda moja kwa moja kaangalie documentary za iddi amin zile ambazo ni yeye mwenyew na sio zile zilizotengenezwa za maigizoAlikuwa kiboko...
Mtoto wake amekuwa akimtetea sana kuwa historia ya babake imepotoshwa.
Hongera sana kaka.Ndiye dada....
Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo mke mwema...
Utafikiri Bonny Mwaitege aliutunga ule wimbo wake kwa ajili yake...
Nina bahati sana!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji8]Ndiye dada....
Ana sifa zote anazopaswa kuwa nazo mke mwema...
Utafikiri Bonny Mwaitege aliutunga ule wimbo wake kwa ajili yake...
Nina bahati sana!!!
AMUN RAHaaa haaa haaa itunze hiyo mkuu awamu hii ikiisha business as usual
Na kwa nchi za Afrika hizi mi nasema hata madikteta kama Idd Amin watawale sawa tuni kweli historia ya idd amin imepotoshwa ukitaka kujua ukweli usisikilize ya watu we nenda moja kwa moja kaangalie documentary za iddi amin zile ambazo ni yeye mwenyew na sio zile zilizotengenezwa za maigizo
ki ukweli iddi amin alikua ni mtu sahihi kwa upande wangu
Aaaa wapi! Si ajabu yuko kwa sonara ananunua pete za ndoa. Hakuna mabinti wapya waliokwishajitokeza humu? Mpe muda na akiingia humu utasikia tu fujo zake. Tena alisema leo anakuja na nadharia mpya ya kunasia totoz...kichwa kichafu amelala saa hizi