capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
I thought nimekujibu! Nini unataka kuskia.?Umuhimu wake ni nini hasa?
Hawana huo ujuzi bro. Wanachojua ni kuhamisha nyama na mafuta kutoka huku kupeleka kule; na kushindilia mahomoni ya kike. Sasa mtu mwenyewe yuko 55+ ugoko wataufanyeje?Na miguu hawajaibadiri naona kabisa goti na ugoko vimesimama
[emoji16][emoji16]Hawana huo ujuzi bro. Wanachojua ni kuhamisha nyama na mafuta kutoka huku kupeleka kule; na kushindilia mahomoni ya kike. Sasa mtu mwenyewe yuko 55+ ugoko wataufanyeje?
I thought nimekujibu! Nini unataka kuskia.?
Konki konki konki Master
Lala salama bro [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Usiku mwema wakuu.