Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kimya kimetawala katika ukumbi wa Julius Nyerere wakati wanachama wa Simba wakisubiri kupata matokeo ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo.
Mara baada ya wanachama kumaliza kupiga kura walitolewa nje ya ukumbi na kutakuwa kwenda nje.
Wanachama hao baada ya kutoka nje kuna ambao waliamua kuondoka majumbani mwao na wengine ambao wapo mpaka sasa.