Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

ded2d1d0-2f6b-4cc3-9588-4fa949946ca9.jpeg
 
Nimeona video mahali jamaa anaapa kuwa alishamtafuna Konkii Master. Na kama konkii akibisha basi huyo jamaa apelekwe jela maisha. Mambo haya ni magumu na papara hizi za Makonda hazitasaidia lolote
Wanasema jamaa ni baunsa na walisha mung'unyuana kweli, walisha gombana ila jamaa kaamua kujilinda kabla Mamba hajamtaja kwenye orodha iliyo kuwa inafuata
 
Back
Top Bottom