Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu akatende juu yao[emoji120][emoji120]

Nakala ya leseni yangu nimesha mtumia Davet kwa matumizi ya baadaye
 
Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Asante sana bro ubarikiwe sana[emoji120][emoji120][emoji120]

Ujembe huo bro Davet
 
Naona jimama limekuachia leo[emoji23][emoji23][emoji23].

Tunakupenda pia msukuma,baraka na zikawe kwetu sote[emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kungekuwa hakuna ban ningerusha picha moja hapa nilikokuwa laivu kabisa bila chenga. Dunia hii wacha tu...
 
[emoji818][emoji818][emoji818][emoji736][emoji736][emoji736]
434324914_240294~2.jpeg
 
Back
Top Bottom