Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wanasema jamaa ni baunsa na walisha mung'unyuana kweli, walisha gombana ila jamaa kaamua kujilinda kabla Mamba hajamtaja kwenye orodha iliyo kuwa inafuata
Kazi sana yaani...

Halafu wapenda huu mchezo ndo huwa wako kimbele mbele sana kupinga hadharani na hata kujivika uanaharakati kabisa. Sitashangaa huko mbele ikija kugundulika kuwa hata huyu mkurupukaji wetu naye anapelekewa moto. Hovyo kabisa !!!
 
43818176_2188714971401251_3541429616889750306_n.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Nakushauri urudie darasa, soma hata darasa la 7D ili ufeli feliiii hata miaka minne.

Habari ya majukumu kiongozi?
Mungu ni mwema siku inaenda vizuri kabisa
Mimi nipo poa kabisa. Mtoto na mama hawajambo kabisa. Vipi maparachichi na bamia huko shamba.
 
Back
Top Bottom