capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Nimeona video mahali jamaa anaapa kuwa alishamtafuna Konkii Master. Na kama konkii akibisha basi huyo jamaa apelekwe jela maisha. Mambo haya ni magumu na papara hizi za Makonda hazitasaidia lolote
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] acheni picha liendeleeWanasema jamaa ni baunsa na walisha mung'unyuana kweli, walisha gombana ila jamaa kaamua kujilinda kabla Mamba hajamtaja kwenye orodha iliyo kuwa inafuata
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkurupukaji naye anatajwa tajwa, acha tusubiri tuone mwisho wa picha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kazi sana yaani...
Halafu wapenda huu mchezo ndo huwa wako kimbele mbele sana kupinga hadharani na hata kujivika uanaharakati kabisa. Sitashangaa huko mbele ikija kugundulika kuwa hata huyu mkurupukaji wetu naye anapelekewa moto. Hovyo kabisa !!!
Mlete babe S hapa naye asukume uziPoa kabisa naona watu mnasogeza uzi. Hongereni
Farkhina habari za hukoFancy.
Farkhina habari za huko
Duh mambo makubwa