Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

No confusion will cloud your mind. A very sound mind shall be yours as you study for this exam. You will make it.
*Maelekezo ya usimamizi wa mtihani kidato cha nne Nov. 2018*

_1.kagua eneo lote la mazingira ya mtihani unapofanyika.chumba cha mtihani, choo

2.Kufahamu wasimamizi wa mtihani.

3.wanaotakiwa kuingia kwenye chumba cha mtihani. Wasimamizi wa mitihani, DED, DSO, OCD, MAAFISA ELIMU.

4.Mkuu wa shule harusiwi kwenye chumba

5.mahusiano na wasimamizi katika majukumu ya mtihani tu sio vinginevyo

6.kusindikiza wanafunzi chooni mwisho mlangoni na akirudi msimamizi anapaswa kumkagua

7.Ulinzi wa mtihani mpk inapoondolewa kwenye kituo ndio unaweza kupumzika

8.kutoa taarifa kwa mkuu wa msafara au msimamizi mkuu kwa tatizo lolote wakati wa mitihani

9.kushirikiana na wasimamizi kutekeleza majukumu na sio kushiriki katika kuhujumu mitahani

10.Askari hatutakiwi au kuepuka kuwa kero wakati wa zoezi la mtihani linaendelea.

11.kutofanya kazi kwa mazoea

12.kutoa taarifa kwa matukio yote yasio ya kawaida

13.kuvaa uniform wakati wote mpk mitihani itakapo ondoka kituoni

14.Marufuku kwa askari wa kiume kutongoza wanafunzi wa kike, kwenda mabweni ya wasichana, kulewa pombe wakati wa zoezi la mtihani

15.kujua na kuisoma ratiba ya mitihani muda wote. Ni Muda gani na mtihani gani unafanyika kwa muda huo.

16.Chakula sio lazima kupewa ni huruma ya Mkuu wa shule. Sio wajibu wao

17.Funguo ya strong room ikiwepo Moja atapewa msimamizi mkuu na zikiwepo mbili askari upewa Moja.

18.Askari kuwa wasafi wakati wote, ndevu, nywele, uniform. nk

19. Wanafunzi wa kike kupekuliwa na mwalimu wa kike au askari wa kike na si vinginevyo

20. Kazi tuliyotumwa ni kusimamia mitihani na sio kazi zingine .

21.Chakula tule lakni tujue kimetoka wapi. Kula ovyo ovyo hairusiwi ili kuepusha matatizo yanayoweza kujitokeza.

22.Kukumbushana kuwahi kwenye chumba cha mtihani.

Nawatakia usimamizi mwema wa MITIHANI.
 
Duh broooo
 
Uko sahihi. Ningendako mwanzoni anajiunga uzi huu nilikuwa namwona kijana mmoja hivi mtulivu sana asiye na makuu. Ilikuwa ni Kasmart na Shiro mambo yakichemka huyoo anaondoka zake kimya kimya. Mpaka nikawa najisemea mabinti wajanja watamuona na watamdabua bila kuchelewa. Huwa najidai kuwa makini sana katika kudadavua wasifu wa mtu kitabia kwa kuangalia tu maandishi yake kwa muda. Nadriki kusema kuwa nilikuwa wrong kwa asilimia zaidi ya mia kwa huyu dogo. Dogo ni mjanja balaa na akina Davet na hata kijana wa kishua programa wetu Capital watasubiri sana walahi. Ngoja niendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ulikuwa wrong,bro bhana
Kiukweli mimi mtulivu na mstarabu sana,,jipe muda tena utanielewa vizuri bro

Nimejikuta nacheka sana,,,uzi huu uwe na maisha marefu aisee,,tunafurahi pamoja na ma life coachies wetu
 
This is her, no filter, no make up just natural.

DrKoo_mWkAEG_Ei.jpg
 
Uko sahihi. Ningendako mwanzoni anajiunga uzi huu nilikuwa namwona kijana mmoja hivi mtulivu sana asiye na makuu. Ilikuwa ni Kasmart na Shiro mambo yakichemka huyoo anaondoka zake kimya kimya. Mpaka nikawa najisemea mabinti wajanja watamuona na watamdabua bila kuchelewa. Huwa najidai kuwa makini sana katika kudadavua wasifu wa mtu kitabia kwa kuangalia tu maandishi yake kwa muda. Nadriki kusema kuwa nilikuwa wrong kwa asilimia zaidi ya mia kwa huyu dogo. Dogo ni mjanja balaa na akina Davet na hata kijana wa kishua programa wetu Capital watasubiri sana walahi. Ngoja niendelee kumwangalia kwa ukaribu zaidi [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona una wafuatilia kwa ukaribu vijana wako. Yote hayo ni kwa upendo ulio nao.

Usisite kutupa ushauri pale unapoona tunaenda njia isiyo sahihi ingawa kutimia hilo lazima kuwepo na mawasiliano ya pande mbili. TUSEMEZANE...
Uzidi kubarikiwa[emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti ulikuwa wrong,bro bhana
Kiukweli mimi mtulivu na mstarabu sana,,jipe muda tena utanielewa vizuri bro

Nimejikuta nacheka sana,,,uzi huu uwe na maisha marefu aisee,,tunafurahi pamoja na ma life coachies wetu
Nilishawahi kutoa angalizo kuhusu hili bro. Data zinaendelea kuharibu tu haipothesia yangu. Naendelea kukuangalia bro. Ile tu ishu ya kushambulia Wasuku ilinishangaza sana bro...[emoji16][emoji16][emoji16]
Screenshot_20181102-221742.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona una wafuatilia kwa ukaribu vijana wako. Yote hayo ni kwa upendo ulio nao.

Usisite kutupa ushauri pale unapoona tunaenda njia isiyo sahihi ingawa kutimia hilo lazima kuwepo na mawasiliano ya pande mbili. TUSEMEZANE...
Uzidi kubarikiwa[emoji120][emoji120]
Vijana wetu wako makini sana hawa. Kesho na kesho kutwa tutakuja kupata raisi humu au angalau waziri. Tuombe tu wakifika huko wasije wakakana kuwa hawakuwahi kujiunga JF au kuwa katika uzi huu. Tuendelee kuwaombea [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Nilishawahi kutoa angalizo kuhusu hili bro. Data zinaendelea kuharibu tu haipothesia yangu. Naendelea kukuangalia bro. Ile tu ishu ya kushambulia Wasuku ilinishangaza sana bro...[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 921552
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nmeona na ilikuwa July,,,duh aisee
 
Back
Top Bottom