Ndivyo yalivyo jiraniHaya maisha haya,acheni tu.
Unaweza kupambana mpaka unasahau unapambania nini bro?Hahaha hapana bro,,inabd upambane tu
Morning CarbaKabisa yani,tupotupo tu.
Morning PyaarWashasoma akili za Watanzania walio wengi wako busy kufuatilia na kukazia vitu vya kipumbavu na kusahau mambo yenye tija.
Wanaume wa Mkoani hao vipi wale wa Dar wapo au bado Konk, Konk, Konk Master ana kazi nao??Ingekuwa wanaume wa Dar huyu chui angeua hata wanaume 100K [emoji23][emoji23][emoji23]
*********************
Mwanaume wa mkoani apambana na chui peke yake na kufanikiwa kumuua - JamiiForums
View attachment 921777
Don't be busy, be productive...Unaweza kupambana mpaka unasahau unapambania nini bro?
Kunamabraza wanafight sana ila miaka yote wapo vile vile kama ngoma ya wateule, wengine wanakata tamaa wanaishia kwenye ulevi wengine uteja kabisa...
Noma bro unaweza kuhisi umelala na bundi
Habari yako niqMorning Carba
Pyaar my dear upo sahihi kabisa na ninakuelewa sana lakini hii kauli yako tukiitoa katika maandishi tuiweke katika uhalisia/utendekaji huo ni mtihani mwingineDon't be busy, be productive...
Tunachokosea ni kuwa busy na kuchakarika kwa vitu ambavyo tumekwisha ona dalili zote kuwa outputs zake ni kidogo sana na zenye changamoto nyingi. Tunajikuta tunasota sana pasipo kuona matunda yoyote.
Na siku zote utendaji huwa ni mgumu kuliko upangaji/utamkaji na uandishi... Wote wenye mafanikio halali wanapita/Walipitia ugumu katika kutekeleza kile walichokiandika/ walichokipanga na hatimaye kuona matunda yake..Pyaar my dear upo sahihi kabisa na ninakuelewa sana lakini hii kauli yako tukiitoa katika maandishi tuiweke katika uhalisia/utendekaji huo ni mtihani mwingine
Acha tu aisee,,kikubwa uhai ndugu yanguHaya maisha haya,acheni tu.
Indeed ProfDon't be busy, be productive...
Tunachokosea ni kuwa busy na kuchakarika kwa vitu ambavyo tumekwisha ona dalili zote kuwa outputs zake ni kidogo sana na zenye changamoto nyingi. Tunajikuta tunasota sana pasipo kuona matunda yoyote.
[emoji23][emoji23] kikubwa uhaiAcha tu aisee,,kikubwa uhai ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Ukiamka mzima unamshukuru Muumba.Acha tu aisee,,kikubwa uhai ndugu yangu
Mungu abariki mapambano yote halali na wapambanaji wake pia awafanyie wepesi katika mapambano yao.Na siku zote utendaji huwa ni mgumu kuliko upangaji/utamkaji na uandishi... Wote wenye mafanikio halali wanapita/Walipitia ugumu katika kutekeleza kile walichokiandika/ walichokipanga na hatimaye kuona matunda yake..