Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Ahsante bro, na kwako pia.Asubuhi njema mkuu.
Ahsante bro, na kwako pia.Asubuhi njema mkuu.
ShukraniAhsante bro, na kwako pia.
Kweli Davet,Unaweza kupambana mpaka unasahau unapambania nini bro?
Kunamabraza wanafight sana ila miaka yote wapo vile vile kama ngoma ya wateule, wengine wanakata tamaa wanaishia kwenye ulevi wengine uteja kabisa...
Noma bro unaweza kuhisi umelala na bundi
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu abariki mapambano yote halali na wapambanaji wake pia awafanyie wepesi katika mapambano yao.
Aya Tuseme Amen ...
Nikweli Bradha kitaani kugumu sana na ili uelewe mambo yalivyo lazima ujichanganye ndio utaelewa jinsi mambo yalivyo magumu... Mungu barikiKweli Davet,
Kuna watu ni mafighter ila hawatoboi.Ni kumwomba Mungu tuu.
Duh haya bhana 😂😂😂😂😂Hivi hata ww hujiulizi unaanzaje kumla tigo mtu kama Dudu Baya hata huo mkunyenge utasimama kweli? Hawa tu akina Sam Missago pamoja na sura zao laini bado hata kumfukunyua ni kazi sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kaka,,,mambo magumu sana[emoji23][emoji23] kikubwa uhai
Hahaha kwel Prof.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....Ukiamka mzima unamshukuru Muumba.
AminMungu abariki mapambano yote halali na wapambanaji wake pia awafanyie wepesi katika mapambano yao.
Aya Tuseme Amen ...
Nakubaliana na hoja yako prof ila there are productive people with poor management of their income.Don't be busy, be productive...
Tunachokosea ni kuwa busy na kuchakarika kwa vitu ambavyo tumekwisha ona dalili zote kuwa outputs zake ni kidogo sana na zenye changamoto nyingi. Tunajikuta tunasota sana pasipo kuona matunda yoyote.
Hahah.. naelewa bro[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kaka,,,mambo magumu sana
Njema kabisa,, huku hali ya hewa sio mbaya sana wala nzuri sana..Hahaha kwel Prof.
Habari za uzima ??hali ya hewa vp huko
Hahaha bora uhaiNjema kabisa,, huku hali ya hewa sio mbaya sana wala nzuri sana..
Ndio...Na kama hakuna management nzuri ya pesa katika matumizi, unajikuta mwisho wa siku kadri unavyoongeza kipato ndivyo na matumizi yanaongezeka, mwisho wa siku kile kikubwa kilichozalishwa kinaingia kwenye matumizi ya kila siku badala ya kukiinvest mahali ili kuendeleza mzunguko wa cash..Nakubaliana na hoja yako prof ila there are productive people with poor management of their income.
Bahati mbaya sana elimu ya kutumia fedha hatuna mtaala wake.