D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Hahahahaha!! NdioHahaha bora uhai
Yaani wewe, kweli uprof haukuja hivi hivi.Ndio...Na kama hakuna management nzuri ya pesa katika matumizi, unajikuta mwisho wa siku kadri unavyoongeza kipato ndivyo na matumizi yanaongezeka, mwisho wa siku kile kikubwa kilichozalishwa kinaingia kwenye matumizi ya kila siku badala ya kukiinvest mahali ili kuendeleza mzunguko wa cash..
Hili ni tatizo hasa kwa hawa maandaeitini wetu, mtu anachakarika wiki mbili mfululizo anaingiza mzigo wa maana halafu anakuja kuufyeka wote kwa weekend moja... Kesho anaanza upya tena..
Mbona kama hujaridhika mkuuDuh haya bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona kama hujaridhika mkuu
Hivi hata ww hujiulizi unaanzaje kumla tigo mtu kama Dudu Baya hata huo mkunyenge utasimama kweli? Hawa tu akina Sam Missago pamoja na sura zao laini bado hata kumfukunyua ni kazi sana
Duu kwa kweli mkuuMkuu kuna watu wana utaalam na kazi zao na wanazipenda pia.
Sio kila unachoshindwa wewe na mwengine atashindwa na sio kila unachoweza pia na mwengine ataweza aisee.
HajaridhikaNaona kama ameweka walaakin hivi.