Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Haha itafute carba, hakika hutojutia kuna hii The Nun na Conjuring 2...
Yap,,usiku horror huwa znanonga sana tena kuanzia saa sita sita hv,,,hlf panakuwa kmya unaweza toboa hadi asubuh
Tena kuwe na ka dimlight hivi na sauti ya juu halafu uko pekeyako[emoji23][emoji23][emoji23]unajitisha mwenyewe,noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…