capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ile naipata pia,,kuna jamaa anajitahd kukiokoa kitt kichanga,kwenye ule mlima kuna mazombie flan hv,,haitishi sana ileZile nimeangalia zote,nikajitisha sana tu.
Kuna ile nyingine inaitwa hill have eyes sijui wakaanza inatisha nikaicheki na kuiona ya kawaida.
Bwana eeeee wengine tunalalaga maporiniiiii msitutisheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ile naipata pia,,kuna jamaa anajitahd kukiokoa kitt kichanga,kwenye ule mlima kuna mazombie flan hv,,haitishi sana ile
Hata haeleweki mara anatinduliwa mara anatindua oooh mke anadai jogoo hapandi wakati huo huo wana mtoto duh. Kwanza mange yanamhusu aje sasa maana hajatajwa tununu wake anayemteteaga hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzangu ndo kwanzaaa ukanenepa
Wanapanda pia,,na ile barabara ilivyo na mkeka ule bhasi unajikuta dereva anajitoa ufahamu kwa speedHivi ngorika huwa hawapandi??
Gari inaenda speed ile hadi sio poa
Ile naipata pia,,kuna jamaa anajitahd kukiokoa kitt kichanga,kwenye ule mlima kuna mazombie flan hv,,haitishi sana ile
[emoji23][emoji23][emoji23]carba sio mtu mzuri huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenzangu ndo kwanzaaa ukanenepa
Bwana eeeee wengine tunalalaga maporiniiiii msitutisheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mke anaonekana kichenchede kutoa siri za ndani. Halafu wana ndoa wanabaki wanamshangaa mbona ya kawaida hayo ndoa zina mengi jamaniiiMke anadai jamaa hadi abustiwe na le midofinga ndo jogoo anawika,naona na yeye anatumika tu apate kiki ya masaa machache.
Mange anapenda kudakia vitu,ngoja tusubiri hilo bomu analotaka kulipua
Wanapanda pia,,na ile barabara ilivyo na mkeka ule bhasi unajikuta dereva anajitoa ufahamu kwa speed
[emoji23][emoji23][emoji23]carba sio mtu mzuri huyu
Toka lini Bwiru ikawa porini...mmh hata mm unandanganya NumbyBwana eeeee wengine tunalalaga maporiniiiii msitutisheee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo mke anaonekana kichenchede kutoa siri za ndani. Halafu wana ndoa wanabaki wanamshangaa mbona ya kawaida hayo ndoa zina mengi jamaniii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]carba sio mtu mzuri huyu
AiseehToka lini Bwiru ikawa porini...mmh hata mm unandanganya Numby
Sana yaan hayo mahololi na mie mbali mbali kabisaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilionaga moja bahati mbaya jamaa anateswa na kuingiziwa mjusi kitovuni uwiiii siku iliharibikaMwenyewe nalala porini na saizi niko kitaa napuyanga[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja isis aje atupie vipicha hapa.
Halafu kumbe we ni kaoga eeh???
Ayaaaaa huyu hajui kona ya bwiru kufika mpaka uji ukoleee bana bana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeh