[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwakuwa kanda ya ziwa siyo mikoani au.......[emoji3] [emoji3] unaogopa kutekwa?[emoji3] [emoji3] [emoji3]Basi bro, nisamehe.
Ninatengua kauli zangu zote, wale watakua wanaume wa mikoani na si kanda ya ziwa kama ilivyosemeka mwanzo.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mambaKonki konki masteeeer.
Utani ulikuwepo, upo utaendelea kuwepo ingawa ukizidishwa sana huzalisha uhasamaJisikie huru bro...
Wasuku hata mi nakubali ni shida kwa kweli. Matani haya hayajaanza leo na wala hayataisha kesho. Zamani utani huu ulikuwa wa muhimu sana katika kujenga mshikamano kati ya makabila husika. Makabila yenye utani yalishirikiana vyema na kamwe hayakuweza kupigana. Japo leo mambo yamebadilika lakini dhana ya utani huu nadhani bado ina mantiki ile ile...
[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Kama uliwahi kusoma Rosa Mistika, Mzee Zakaria (Babake na Rosa Mistika) aliuawa kwa kuchomwa mkuki kifuani baada ya kuzidisha matani kwenye msiba. Hebu Kazaramo na kasome angalizo hili na kulielewa [emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahahah, hamna Mo.Hapo nilikua namtania bro.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwakuwa kanda ya ziwa siyo mikoani au.......[emoji3] [emoji3] unaogopa kutekwa?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kwa falsafa hiyo hiyo naamini kuna siku watajifunza kitu.Watu wengi walimchagua Hillary sema tu wana liutararibu la hovyo linaloruhusu hata ambaye hakupata kura nyingi kuweza kumshinda mshindi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] watu wanapendaga manyama nyama ati[emoji3] [emoji3] [emoji3]Halafu utasikia jimtu bila aibu, punguza hayo manyama uzembe. Hovyo kabisa yaani [emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 923796
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] sawa bradhahahahahahahah, hamna Mo.Hapo nilikua namtania bro.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Siyo kweli kamanda. Na wengine bila mabonge haya hatuwezi kuishi. Uzembe hoyeee !!! [emoji23][emoji23][emoji23]