Hayo ya Akina Trump yaache. Hawana jipya hawa. Noeli bila michembe na maziwa ya mgando haiendi mbona? Tutakutana Gold Crest basi. Blessings [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro bana. Ina maana kila noel unashuka kuja kula huku kisha unarudi daah unakosa uhondo kwa akina trump noel zao tamu sana
Asante sana .....nawe pia