Yaan kama sio wao wanaoimba this is liverrr[emoji16][emoji16] nimeshangaa sana jana wanavyolalamika yani utafikiri sio wale wanaofurahia timu na kocha wao kila siku...
Bado wajiandae kiakili tu timu yao ya mizuka ila sio timu ya kuchukua ubingwa wowote labda calabao cup tu...Yaan kama sio wao wanaoimba this is liverrr
[emoji818][emoji818][emoji818]upendo una nguvu.. tupendane wote
Ndio,,,alifanya na skywalker
Tatizo la jurgen ni moja tu na sii mengi ni kwamba hana kitu kinaitwa Plan B once and for All. Na ndio ambacho kitamtafuna pole pole sana na asiposhtuka Ubingwa ata uona ukiwa Extra MilesBado wajiandae kiakili tu timu yao ya mizuka ila sio timu ya kuchukua ubingwa wowote labda calabao cup tu...
Alafu jamaa ata kiswahili anasound kama wazunguNdio,,,alifanya na skywalker
Aisee! Mtambo wa gari huu. Nani mmiliki hapa hekooo zake