[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabsa,,yule presenter aliyekuwa anamfanyia interview balozi??unamfahamu vzr bro[emoji23][emoji23] waswahili tunaumizana wenyewe kwa wenyewe bro ndio mana tunapenda mambo makubwa ambayo sio size yetu
Yes bro! Nampata vizuri toka kipindi ile yupo RFA ya Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kweli kabsa,,yule presenter aliyekuwa anamfanyia interview balozi??unamfahamu vzr bro
Nice bro,,,jamaa anajua sana pia huyu jamaa anahusika sana na ile app ya afripods,,ukiwa unaanza kusikiliza hyo interview na balozi,,utasikia anasema karbu kwenye chill na sky,,hyo chill na sky ndio kipnd anachofanya huko afripods.Yes bro! Nampata vizuri toka kipindi ile yupo RFA ya Mwanza
Hiyo Afripods bado sijaifanyia kazi bro nilisahau kabisa ngoja nifanye michakato...Nice bro,,,jamaa anajua sana pia huyu jamaa anahusika sana na ile app ya afripods,,ukiwa unaanza kusikiliza hyo interview na balozi,,utasikia anasema karbu kwenye chill na sky,,hyo chill na sky ndio kipnd anachofanya huko afripods.
Exactly bro,itafute aisee.Hiyo Afripods bado sijaifanyia kazi bro nilisahau kabisa ngoja nifanye michakato...
Jamaa mjanja mjanja sana ata alikua na YouTube channel yake alikua anachambua mambo mbali mbali ya music, hiyo channel ilikua inapata views wengi sana nahisi ndio ata sababu ya Dissim online kumteka....
Heh!16:14