Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1541318746687.jpg
 
Mashoga hawastahili kulindwa usalama wao? Sheria zetu zinasemaje kwani kuhusu usalama wa raia wakiwemo wahalifu?

[emoji3591][emoji3591][emoji3591] Move ya kuwatoa wasiwasi watalii...nadhani
Kila raia wa Tanzania ana haki ya Usalama wa maisha yake na mali zake na pia kuheshimu mali na maisha ya mtu mwingine.

Haya mambo ya kupinga mashoga serikali ikihusika nayo nahisi mashirika ya haki haki haya yatahamia TZ
 
*BAD NEWS*

*BREAKING NEWS*

Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Igoma leo. Wasichana wawili walichukua tax toka Igoma kuelekea Bwiru mara dereva akahisi harufu kali akawaona polic wawil barabaran akasimama ili hayo mabeg mawil ya hao wasichana yasachiwe. Polisi waliongea na wasichana hao wakatoa dola 2000, taxdriver akaruhusiwa bila kusachiwa. Walipofika Search point ndipo askari moja alishtuka alipofungua begi akaona Vichwa vitatu,. Vilipofanyiwa uchunguzi wakagundua kuwa vichwa hvo ni vya Sumsang Charger, Iphone charger na Infinix Charger.

Asante kwa kusoma stori yote. Kama umechukia njoo tupigane, maana ulitegemea habari mbaya. Unaweza kuendelea na kazi unayofanya sasa.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] haya kamanda naendelea
 
Ntakutafuta tuzikunje bro [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Kila raia wa Tanzania ana haki ya Usalama wa maisha yake na mali zake na pia kuheshimu mali na maisha ya mtu mwingine.

Haya mambo ya kupinga mashoga serikali ikihusika nayo nahisi mashirika ya haki haki haya yatahamia TZ
Hii ishu ni ngumu na haitaki papara kukabiliana nayo. Tatizo letu kubwa ni umasikini. Ukiwakoromea kesho na kesho kutwa utawasikia EU na "wakubwa" wengineo huko wanasitisha misaada. Uganda na Malawi walipitisha sheria kabisa lakini hawakufua dafu ilibidi kuzitengua na kusarenda. Ukiwa masikini unapoteza hadhi yako ya kujiamulia mambo...
 
Hakika bro
 
Back
Top Bottom