Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
[emoji849][emoji849]Aisee [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 925006
[emoji849][emoji849]Aisee [emoji116][emoji116][emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 925006
Sidhani. Hapa JF kila mtu ana maisha mazuri - gari, majumba, kazi safi ...Hivi hum wamo wanaolala seburen?
Naweza kumpataje huyu bitoz wa kike
Jamani linatia uchu
👍Kweli kabisa kamanda ila tu usizidishe saaaaana. Inabidi na tuukweli kweli tuwemo [emoji16][emoji16][emoji16]
Jamani linatia uchu
Huyu labda uende ukashiriki "Bongo star search"Naweza kumpataje huyu bitoz wa kike
Aaah huko katanitoa nduki nahivi kuimba sijui ndo kataniaibisha kabisa, hiyo NoHuyu labda uende ukashiriki "Bongo star search"
[emoji16][emoji16]Aaah huko katanitoa nduki nahivi kuimba sijui ndo kataniaibisha kabisa, hiyo No
[emoji16][emoji16] jamani*BAD NEWS*
*BREAKING NEWS*
Vichwa vitatu vimekutwa kwenye begi, Hii imetokea hapa maeneo ya Igoma leo. Wasichana wawili walichukua tax toka Igoma kuelekea Bwiru mara dereva akahisi harufu kali akawaona polic wawil barabaran akasimama ili hayo mabeg mawil ya hao wasichana yasachiwe. Polisi waliongea na wasichana hao wakatoa dola 2000, taxdriver akaruhusiwa bila kusachiwa. Walipofika Search point ndipo askari moja alishtuka alipofungua begi akaona Vichwa vitatu,. Vilipofanyiwa uchunguzi wakagungua kuwa vichwa hvo ni vya Sumsang Charger, Iphone charger na Infinix Charger. Asante kwa kusoma stor yote, kama umechukia njoo tupigane, maana ulitegemea habari mbaya. Unaweza kuendelea na kazi unachofanya.
Pole Sana1:57 , betri low