Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wote wawili.Hahahaha
Kwa Zainab au Nali Mbilinyi
Mpaka kieleweke walahi...[emoji16][emoji16][emoji16]
Niko hapa UNC Chapel Hill...
Wote wawili.Hahahaha
Kwa Zainab au Nali Mbilinyi
Kweli kabisa kamanda ila tu usizidishe saaaaana. Inabidi na tuukweli kweli tuwemo [emoji16][emoji16][emoji16]Watoto wazuri ukiwa mkweli huwapati
Kuna mmoja alikua ananileta dhalau siku alisikia naongea na jamaa kwenye simu kwamba gari yangu imefika iko bandalini ndo siku nilipewa kabisa mzigo, mambo mengine tujiongeze vijana.Kweli kabisa kamanda
Jamaniii...Kuna mmoja alikua ananileta dhalau siku alisikia naongea na jamaa kwenye simu kwamba gari yangu imefika iko bandalini ndo siku nilipewa kabisa mzigo, mambo mengine tujiongeze vijana.
Nishapata nachokitaka sina wasiwasi ,yeye sikafata magari kwahiyo goma droJamaniii...
Vibaya hivyo lakini bro...
Alipogundua kuwa bandarini hakukuwa na cho chote ikawaje?
Hivi hum wamo wanaolala seburen?