Mkuu kwema?[emoji116] View attachment 924939
Yuko wapi huyu dogo kwa sasa?Thabiti Hashim Thabiti View attachment 924924
Kwema mkuu , nilikua kwa bibi kidogo mana huku kutekana tekana kumezidi inabidi tujiweke fit mkuuMkuu kwema?
Naendelea kuzisave. Halafu baadaye nitazipeleka North Carolina nikathibitishiwe kama ndiwe ama la !!!
Hukuwa na haja ya kwenda kwa Bibi. Ungeongea na Zitto tu mambo kwisha. Watekaji wanakuja wanaambulia mizigo ya migebuka tu we ushasepa [emoji16][emoji16][emoji16]Kwema mkuu , nilikua kwa bibi kidogo mana huku kutekana tekana kumezidi inabidi tujiweke fit mkuu
Mara ya mwisho kupata habari zake nilisikia anacheza kikapu huko Asia nahisi ilikua ni China ile Sasa sijajua kama bado yupo huko au kishatokaYuko wapi huyu dogo kwa sasa?
Hahahaaa nilikua na siku sijaliona Ziwa na lile jiwe pendwaHukuwa na haja ya kwenda kwa Bibi. Ungeongea na Zitto tu mambo kwisha. Watekaji wanakuja wanaambulia mizigo ya migebuka tu we ushasepa [emoji16][emoji16][emoji16]
Huyo ni Bashite?
HahahahaNaendelea kuzisave. Halafu baadaye nitazipeleka North Carolina nikathibitishiwe kama ndiwe ama la !!!
Jamaa ana pointi sana sema siyo poa ila...[emoji15] View attachment 924956
Watoto wazuri ukiwa mkweli huwapatiJamaa ana pointi sana sema siyo poa ila...