carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Hujawahi tumiwa pesa kwa njia ya posta?TMO ndio nn mzee??
Nilipoiona niliisoma kwa uangalifu sana nilipoona kuwa wahusika wanatoka Mbeya. Yu jasti neva nooo [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mwanadada hataki kabisa baadhi ya milango yake kuingiliwa mpaka kaua mtu. Duh
Ok,bill nasi,nikk wa pili,Aah bro unaniletidauni wewe hip hop kabisa unayumba kutaja mtu tu
MashaAllahYah ndio yeye aisee kila kitu anafanya sasa hivi ni kwaajiri ya dini. Ata kuna ki-clip chake flani mwezi wa Ramadhan kilitamba sana anahimiza watu kufunga...
Andaeitini we ulitumiwa lini? Au unaongelea mambo ya Western Union?Hujawahi tumiwa pesa kwa njia ya posta?
Kazi ya mikono yake aliye Juu daima ni yenye ukamilifu
Duuh! ilikua kitambo sana inaonekanaHela tulikuwa tunachukulia posta, ndo kipindi ukienda kupiga simu ya mezani opareta anauliza "unalipa wewe au atalipa unae mpigia? " Jibu lilikuwa rahisi tu "atalipa ninae mpigia "
Nimekumbuka asali wa moyo[emoji23][emoji23]Yaah! Sukali ya warembo enzi hizo flo zake zilikua na swagger hatari [emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dav bhana[emoji23][emoji23][emoji23] na kwataarifa yako sijatia maneno mengi kwasababu yako niliogopa ukiona
[emoji23][emoji23]aisee ilikuwa raha sanaHela tulikuwa tunachukulia posta, ndo kipindi ukienda kupiga simu ya mezani opareta anauliza "unalipa wewe au atalipa unae mpigia? " Jibu lilikuwa rahisi tu "atalipa ninae mpigia "
Sijawahi ndugu yanguHujawahi tumiwa pesa kwa njia ya posta?
KweliHata tukitaniwa ni sawa...[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 925094
Wakusoma niaje, vipi pre form one unaendelea vema[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Salamu kwa Andjul
Twamshukuru MunguShwari ndugu, siku imeendaje?
Naunga mkono hoja ila Nick wa pili alianza sawa "niaje ni vipi" na "good boy" naada ya hapo akayumbaOk,bill nasi,nikk wa pili,