Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Kweli we ni kama mkulu, je uliacha baada ya kuanza kuvaa miwani?*Confused Boy*
hii bao lacazette amefunga Liverpool ni Kama ile nilifunga pale highskul wakati WA County games. Hiyo term nilioga n maji moto, nikakula chakula y walimu n siku y kumaliza form four nikapewa Guard of Honour ka y wenger. Msinionage tu hivi wadau[emoji6][emoji6][emoji81][emoji81]