Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Shukran ndugu yangu!!!Apumzuke kwa amani,pole kwa msiba.
Inalillah wainalillah rajun
Shukran ndugu yangu!!!Apumzuke kwa amani,pole kwa msiba.
[emoji16][emoji16] tuko pamojaEbhana hapo mimi namuona Mourinho akiumia gori 2-0
Mambo hayooHata mida kama hii tuwe tunapeana kalibu jamani , kalibuni sana wadauView attachment 925217
Otilie anamoyo sana,,kwa slayqwin km yule jamaa hadi anaweka ball kabsa,,,[emoji23][emoji23][emoji23]
Unatengeneza matatzo juu ya matatzo
IndeedSome people take social media so seriously.
We are just here to have fun, socialize and laugh.
Pole sana bro. Mungu akutie nguvu kwa kipindi hiki kigumu. Hakika bwana Alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe sana. [emoji120]Huyu jamaa ni mtu wangu wa karbu sana,,tumekuwa pamoja,tumesoma pamoja,,jana nmepata taarifa hatupo nae tena,,,ilikiwa ghafra tu,,katoka zake kwenye mihangaiko salama kabsa,,,ila alipoenda kulala hakuamka tena,,,jamaa alikuwa anatatzo la presha
Acha wale raha.Jamaa kajilipua mazima
Ha ha ha[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] .. Huyu ndiye mdudu aliyebarikiwa kuliko wadudu wote dunianii[emoji39][emoji39]
Waooooo, [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]