Kampungapunga
JF-Expert Member
- Sep 27, 2018
- 313
- 1,100
Kweli we ni kama mkulu, je uliacha baada ya kuanza kuvaa miwani?*Confused Boy*
hii bao lacazette amefunga Liverpool ni Kama ile nilifunga pale highskul wakati WA County games. Hiyo term nilioga n maji moto, nikakula chakula y walimu n siku y kumaliza form four nikapewa Guard of Honour ka y wenger. Msinionage tu hivi wadau[emoji6][emoji6][emoji81][emoji81]
Huyu jamaa ni mtu wangu wa karbu sana,,tumekuwa pamoja,tumesoma pamoja,,jana nmepata taarifa hatupo nae tena,,,ilikiwa ghafra tu,,katoka zake kwenye mihangaiko salama kabsa,,,ila alipoenda kulala hakuamka tena,,,jamaa alikuwa anatatzo la presha
Shukrani, ngoja nami nianze harakati za kuitafuta aisee.Ndio nataka nianze kuitzama leo,,bado ni mpya kaka,,ina epsod 6 tu nado inaendelea kutoka season 1,,ila ina rate za juu sana
Hilo ndo lengoHahaha...ili upate hasira ya kuzisaka ngawiraa
Pamoja mkuu.Shukrani, ngoja nami nianze harakati za kuitafuta aisee.
Very sad bro..wote tunaelekea huko.Sad[emoji26]
[emoji16] BroMadem na waganga wako na one thing in common,wote huamini "Miti ni Dawa"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Otilie anamoyo sana,,kwa slayqwin km yule jamaa hadi anaweka ball kabsa,,,[emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni kweli anakula acha aendelee kula maisha mafupi haya.
Kuna kipindi nilisikia jamaa analalamika vera alitoa mimba yake
Hahaha hongera ya kuncheka hiyoHongera buda
Hahahaaaa aise acha tuongeze siku za kuishi tuI was wondering if Jonah was a luo after being swallowed by a fish, he would remove his iPhone and call otieno, "omera tayarisa ugali Niko ndani ya mboga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]