Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.KUNA mastaa ambao wataendelea kubakia kuwa mashujaa katika klabu ambazo ziliwapa majina. Licha ya klabu hizo kuwa ndogo lakini mastaa hao waliamua kubakia katika klabu zao na kuzitosa ofa za klabu mbalimbali kubwa ambazo ziliwasili katika klabu zao
 
Francesco Totti

Mmoja kati ya mastaa bora wa muda wote pale Italia. Kulikuwa na klabu nyingi za juu ya Roma ambazo angeweza kwenda kuchezea lakini aligoma. Msimu wa 2003-04 aliwahi kufuatwa kwa nguvu na Real Madrid lakini akakataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…