Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4.Wadudu na magonjwa.
Maharage hushambuliwa na wadudu na magonjwa. Miongoni mwa njia za kuzuia, kukinga na kufukuza wadudu ni kuhakikisha kuwa mimea ipo katika hali nzuri (imepaliliwa, nafasi ya kutosha na haijaharibika).
 
Pia kubadilisha aina ya mimea inayopandwa kwenye shamba moja mara kwa mara husaidia kupunguza uwezekano wa wadudu kuongezeka. Kwa baadhi ya wadudu kama vile viwavi (African Ballworm) huweza kufukuzwa kwa kutumia muarobaini au vitunguu saumu.
 
5.Kukomaa na Kuvuna.
Maharage ya kijani yanatakiwa yavunwe kabla punje za maharage hazijakuwa sana. Hii ni kati ya wiki 7-8 baada ya kupanda. Maharage makavu huvunwa mara tu kiasi cha kuridhisha cha kukomaa na kukauka kinapokuwa kimefikiwa.

Kwa mfano asilimia 80 ya maharage yakishakomaa na kuanza kubadilika rangi (kukauka) au kwa aina nyingine kusinyaa yanakuwa tayari kwa mavuno.
 
Baada ya kukauka hadi kufikia angalaua asilimia 12 ya unyevu, maharage yanatakiwa yahifadhiwe kwenye chombo chenye mfuniko kama vile ndoo ya plastiki au pipa na kuendelea kuyaangalia mara kwa mara ili kuhakikisha kuwa wadudu hawajaingia na kisha kuyafunika tena.
 
6. Kilimo mchanganyiko.
Ni vizuri sana na inashauriwa kupanda maharage pamoja na mimea ya jamii nyingine kama vile mahindi kwani husaidia katika kusambaza madini ya nitrogen na kwa maharage yenye kutambaa, hupata sehemu ya kujishikilia au kutambalia.
 
Maharage yanaweza yakapandwa katikati ya mistari ya mahindi. Pia viazi huweza kupandwa pamoja na maharage. Inashauriwa kutokupanda maharage pamoja na mimea mingine ya jamii ya maharage (leguminous) kwani husababisha mimea isiweze kukua vizuri kwasababu ya kutokupata virutubisho vya kutosha na huweza kusababisha matatizo kama ya wadudu kama nzi weupe.
 
Mwanamke mmoja nchini ZImbabwe, Silindile Mangena, amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kusabisha sehemu zake za siri kupanuka kupita kawaida, na kumtaka amlipe takriban Tsh. Milioni 23 ili akafanye upasuaji wa kuzirekebisha.
 
Maana hii mijitu kwa kujua kuku changei hawajambo walahi
Waacha wafe tu kama wale kina KORA JANGWANI WALAHI
Kora yule ardhi ilipasuka akamezwa pamoja na wenzake?

Uko deep sana na haya mambo aisee. Jana ulimuweka Cain akiwa na ile tattoo yake kwenye paji la uso. Kauli yako kwamba ni impossible kumlaani wala kumuua tena ilinifikirisha sana aisee...

Jamaa halaaniki wala kuulika tena na ukijaribu kufanya hivyo unamkorofisha Mungu mwenyewe moja kwa moja
 
Mwanamke mmoja nchini ZImbabwe, Silindile Mangena, amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kusabisha sehemu zake za siri kupanuka kupita kawaida, na kumtaka amlipe takriban Tsh. Milioni 23 ili akafanye upasuaji wa kuzirekebisha.

tapatalk_1517850768763~2.jpeg
 
Back
Top Bottom