Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi mke wa mtu anautamu gani ambao huwezi pata kwa mwanamke mwingine aliye single?
Warahisi sana and they are down for whatever. Wana mafurasituresheni yao sekishwale huko kwenye ndoa so akija kwako anataka umtoe mafurasituresheni yote. Ni kampa kampa ng'wanawane na unaweza hata kuhongwa wewe badala ya kumhonga yeye...Halafu kuna ile mental ekisaitimenti kuwa unatafuna mke wa mtu (and the risks involved) inaleta mzuka balaa...sawa tu na mtu anayeparachute kutoka kwenye ndege...

Angalizo: Mi sijawahi kutafuna mke/mchumba wa mtu. Dhambi hiyo na inipite [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
....
Screenshot_2018-11-12-16-20-16-1.jpeg
 
Back
Top Bottom