Nilimiss mambo haya[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si useme tu unachotaka kusema? Au unafuata ushauri wa siku ile kuwa hakuna haja ya kuweka kapusheni? Hovyo kabisa [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Nashukuru[emoji120][emoji120] na ikawe njema kwako piaMzima pia,namshukuru Mungu.
Nimefurahi kusikia u mzima!
Uwe na siku njema huko uliko.
Halafu sasa awe jiran yule mna bifu unakula kwa raha mstarehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Natamani ningekuwa ndo jirani hapo,maana hizo ndizi ndo maradhi yangu daah[emoji39][emoji39][emoji39]
no thank youUzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
Mbona kama anashusha mzigo??[emoji15][emoji15]Haya hapo UBT jamaa anafanya yake baada ya kuambiwa na mganga ni masharti ya utajiri na haonekani View attachment 933403
Ndio hivyo katakiwa ajisaidie hapo kukamilisha mashartMbona kama anashusha mzigo??[emoji15][emoji15]
Hii ndo shida ya kupenda utajiri kwa njia ya mteremko,mzee mzima kujitia fedhea tu kisa mali,daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ni fireeeeView attachment 933404
Na mwenzie diva[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kina sanchoka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka kuniponza eeh?Nilimiss mambo haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tangaaaaa mahaba mahabani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 933405
Kabisa yaniHalafu sasa awe jiran yule mna bifu unakula kwa raha mstarehe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unataka kuniponza eeh?
Sitaki magazeti ya mapovu mie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kabisa yani
Unakula ukisikilizia povu[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tanga ipo dar ujueTangaaaaa mahaba mahabani
Wanaume wa mkoani watasema huyu ni wa dar
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha hizo diva anaedit hadi mwandikoNa mwenzie diva[emoji23][emoji23]
Tena diva alitaka 10m,mtu mwenyewe sura mbovu kama yangu,shepu haieleweki[emoji23][emoji23]daah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hizo vitabu na mimi naomba nisome
Nawakumbusha tu wanaume:kukula bibi ya wenyewe ni sumu inayoua haraka sana na hasa ukitokea kwenye magazeti ya shigongo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijasema umekula bibi ya wenyewe lakini[emoji125][emoji125][emoji125]
Wapi sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]