moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hiyo ni kama mnauziana tu[emoji3] [emoji3] ngumu sana hiyoLikely unasubiri akikuomba kuteleza konokononi nawe ndo unamuomba. Mnaombana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Hiyo ni kama mnauziana tu[emoji3] [emoji3] ngumu sana hiyoLikely unasubiri akikuomba kuteleza konokononi nawe ndo unamuomba. Mnaombana [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Warahisi sana and they are down for whatever. Wana mafurasituresheni yao sekishwale huko kwenye ndoa so akija kwako anataka umtoe mafurasituresheni yote. Ni kampa kampa ng'wanawane na unaweza hata kuhongwa wewe badala ya kumhonga yeye...Halafu kuna ile mental ekisaitimenti kuwa unatafuna mke wa mtu (and the risks involved) inaleta mzuka balaa...sawa tu na mtu anayeparachute kutoka kwenye ndege...
Angalizo: Mi sijawahi kutafuna mke/mchumba wa mtu. Dhambi hiyo na inipite [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwahiyo ile risk ya kufumaniwa ndo inaleta mzuka wa kupiga show ya kuvunja chaga?
Halafu ulijuaje haya yote ilhali hujawah kukula bibi ya wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
😀😀😀Yeye mwenyewe kizungu chake kibovu kama mapozi ya sanch[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]