Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Epuka kupita magari mengine
Moja kati ya chanzo kikubwa kinachosababisha ajali hivi leo ni kupita magari mengine (overtaking). Kutokana na kupungua kwa uwezekapo wa kuona pamoja na utelezi wakati wa mvua au ukungu, inashauriwa kutokupita magari mengine ikiwa hakuna ulazima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yalaaaaaaa dongo limenipataaaa
 
Naamini umeona jinsi ambavyo swala la kuendesha gari wakati wa mvua na ukungu linahitaji umakini na tahadhari kubwa. Inashauriwa kama hakuna ulazima wa kuendesha gari wakati wa mvua au ukungu, basi subiri hali ya hewa iwe nzuri ndipo ufanye safari yako.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hahahaha numby na sauti nzito, kwakweli lazima utimue ukaufiche uso wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uzuri wako hukwazikagi kirahisi. Safi sana. Gold Crest foreva walahi mane lavusi mi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]one day yeeees !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…