Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

446304815_443491.jpeg
 
Imagine mtu umetulia zako Gold Crest umejiandaa tayari kwa kimdabuo hevi halafu unasikia sauti nzito ya kiume "Hi Shimba brathee, Numby hapa nshafika. Fungua bro"...Utatamani uruke dirishani hata kama uko ghorofa ya tisa huko. Haya mambo ni magumu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi mliosema mwaka huu mtajenga,, mefikia wapi na mwaka ndo huo... Nilikuwa niwakumbushe tuu japo bati bei juu [emoji16][emoji16][emoji16]
Tunamalizia tiles mkuu, nadhani mpaka desemba 30 mambo yatakuwa yameisha kabisa.
sijui kwa upande wako[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom