Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

?utm_source=ig_share_sheet&igshid=whbl1o0vq11r.jpg
 
MSHAMBULIA wa England, mara zote wa Wayne Rooney amesema itakuwa kitu kigeni wake kucheza kwenye Uwanja wa Wembley mechi ya kumuaga.

Rooney 33, alistaafu kucheza kucheza soka ya kimataifa mwaka 2017, lakini itakuwa mechi yake ya 120 dhidi ya Marekani kesho Alhamisi.
 
Rooney alisema kuwa atafurahi kuona anaondoka kwenye Uwanja wa Wembley akiwa mwenye tabasamu.

"Kucheza kwenye Uwanja wa Wembley ni kitu ambacho sikukitarajia na ninawapongeza wote kwa kweli," alisema.
 
Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United na Everton amestaafu kuitumikia timu ya taifa kwa mechi 119 huku akifunga mabao 53.

Chama cha Soka England, FA, kilisema kuwa mechi dhidi ya Marekani ni nafasi kwa Rooney kujitengenezea rekodi na kubakia kwenye vitabu.
 
Mshambuliaji anayehangaika kusaka mabao ndani ya Chelsea, Olivier Giroud, amelamba dili baada ya kuteuliwa kuigiza sauti ya Green Goblin katika filamu mpya ya Spider-Man. Giroud ambaye yupo kwenye kambi ya timu ya Taifa ya Ufaransa na beki wa Paris Saint-Germain wa Presnel Kimpembe ndio waliobahatika kulamba dili na kufanya kazi kwenye filamu hiyo inayotamba ndani ya Hollywood.
 
Waandaaji wa filamu hiyo wamesema kuwa wameamua kumtumia mshambuliaji huyo kwa kuwa kipande cha Green Goblin katika filamu hiyo inayo ya Spider-Man film kitazungumza katika lugha na lafidhi ya kifaransa.
 
Hata hivyo imeelezwa kuwa kocha wa Ufaransa, Didier Deschamps hajafurahishwa na uamuzi wa kuwatumia wachezajin hao kwenye filamu hiyo ya Scorpion akiamini itawachanganya na kushindwa kuzingatia maelekezo yake kuelekea mechi ya Uefa Nations Ligi itakayocheza Ijumaa dhidi ya Uholanzi.
 
Kujitoa kwa washambuliaji Anthony Martial na Alexandre Lacazette walio majeruhi kunamfanya kocha wa Ufaransa kumtegemea mshambuliaji huyo pamoja na chipukizi Kylian Mbappe kupata ushindi dhidid ya Uholanzi.
 
Filamu hiyo inatarajiwa kuanza kuachiwa Desemba 12 mwaka huu lakini tayari baadhi ya vipengele vimanza kuachiwa ili kuitangaza ya filamu hiyo na sauti za Giroud na Kimpembe zikitarajiwa kuwavutia mashabiki katika nchi zinazozungumza Kifaransa.
 
MSHAMBULIAJI wa Manchester United aliyesajiliwa kwa mbwembwe kutoka Arsenal, Alexis Sanchez, ameliamsha upya kabisa, kasema haitaki klabu yake hiyo.

Hatua hiyo ni baada ya kumwambia wakala wake amtafutie klabu nyingine na wakala wake amemwambia kuwa kwa sasa anawasliana na Real Madrid inayoshiriki La Liga.
 
Back
Top Bottom