capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kauli moja ya Bashite imeshaligharimu taifa approximately TZS trilioni 1, au bilioni 1000. Hii ni zaidi ya fedha ambayo ingetosha kujenga barabara ya lami kutoka Dar es Salaam hadi Kigoma.
Bro,,Huyo Msichana Unayemuona Ni Mzuri Kuliko Demu Wako, Mpaka Unaanza Kumtamani. Kuna Mwanaume anatoa Hela hapo.
Hebu na Wewe Mpe Hela Demu wako, Mtunze vizuri.
Mungu wetu huwa hakosei [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ni kweli kabsa,Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.Mungu wetu huwa hakosei [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]