Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
pizza ya tikimaji au siyo?
Ufupi hua unategemea umesimama na nani
Relativity?Ufupi hua unategemea umesimama na nani
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Mpe salam zangu piaRelativity?
Einstein anakusalimia mkuu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilijua lazima utakuja mbio kutetea hizo tuhuma bro.Broo....Nyama uzembe zinakuwa tumboni na sehemu zingine mwilini neva eva eva msambwandani. Zingatia sana hili [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Weweeeeeeee !!!
Yuko sawa[emoji818][emoji818]
Bahati yake huyu ni mrefu. Angelikuwa mfupi ningalimuita KIJEBA
Kachumbari ya kidhungu hii [emoji39][emoji39][emoji39]
Nadhani hii sura itarandana zaidi kama Kupandisha ikoo.
Super extra tall [emoji15]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], tutaezeka kwa makuti.