yaani...myoyaaa sio kwa mh hiyo myoya
umekuwaje mbendi myoyayaani...
Patel Towers 1st floor! Huyu mzee bado anapiga dealsPaul Bomani
Hahahahakampuni ya sina kwetu inatoa mikopo kwa jinsia zote ila sharti uwe na umri kuanzia miaka 75 na unapaswa uje na mzazi wako.
hahahahaaa tangazo hili niimeliona sehemu
Duuu, kaazi kweli
Kuna mtu amejilipua kwenye Uzi eti ameji self service kwa wanawake wengi wengine majina aliorodhesha akadai bado wewe na zamu ilikua usiku wa kuamkia leo