Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na kwa nchi za Afrika hizi mi nasema hata madikteta kama Idd Amin watawale sawa tu
Ali mradi wasiue watu na wahakikishe maendeleo yanapatikana.
Demokrasia hii ya Wamarekani hii wala hatuielewi na kusema kweli haijatusaidia lolote.
Imegeuka mtindo tu wa kupigania madaraka lakini kimsingi mambo ni yale yale!!!
Dikteta lazima ataua tu. Hivi ikiwa wale wanaodhaniwa kuwa angalau wana viashiria vya kiutu, kuruhusu uhuru wa kusema na kuruhusu demokrasia, hao nao wakiwa madarakani hutuhumiwa kuua kwa kile kinachosemekana kulinda nchi zao/ tawala zao. inakuwaje kwa madikteta wanaoingia madarakani kwa mkono wa chuma na pia kutawala nchi zao kwa mkono wa chuma? Madikteta tuliojaaliwa kuwapata hapa Afrika wote walikuwa wauwaji. Seseseko wazabanga, Sani Abacha, Mengistu Haile Mariam, Idi Amini, Jeen Badel Bokassa nk. Hata wa nje ya Afrika kama Hitler, Mohammed Suharto, Mohammed Zia Ulihaq, Ferdinand Marcos nk, hao pia walipenda sana michezo hiyo. Dikteta ni dikteta tu
 
Umenikumbusha zama zao..
 
Mwenye Enzi Mungu atuepushe na hiyo hali nchini kwetu TANZANIA milele yote
 
26c1754a2f3fdbbb4614899df9e82766.jpg
 
Dikteta lazima ataua tu. Hivi ikiwa wale wanaodhaniwa kuwa angalau wana viashiria vya kiutu, kuruhusu uhuru wa kusema na kuruhusu demokrasia, hao nao wakiwa madarakani hutuhumiwa kuua kwa kile kinachosemekana kulinda nchi zao/ tawala zao. inakuwaje kwa madikteta wanaoingia madarakani kwa mkono wa chuma na pia kutawala nchi zao kwa mkono wa chuma? Madikteta tuliojaaliwa kuwapata hapa Afrika wote walikuwa wauwaji. Seseseko wazabanga, Sani Abacha, Mengistu Haile Mariam, Idi Amini, Jeen Badel Bokassa nk. Hata wa nje ya Afrika kama Hitler, Mohammed Suharto, Mohammed Zia Ulihaq, Ferdinand Marcos nk, hao pia walipenda sana michezo hiyo. Dikteta ni dikteta tu
Toa likes Pata likes nimesoma kidogo...
 
Back
Top Bottom