Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mtu amejilipua kwenye Uzi eti ameji self service kwa wanawake wengi wengine majina aliorodhesha akadai bado wewe na zamu ilikua usiku wa kuamkia leo

Ha ha ha haaaa

Hata shetani la ushetani haniwezi ataniweza yeye

Kaka aliandika humu, niyajie nani labda sikuwa online kusoma msg yake eeee

Huwa narudi nyuma kutoa like sijakutana nayo bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…