Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mshambuliaji wa zamani wa Manchester City na Manchester United, Carlos Tevez ameumizwa kutokana na vurugu za mashabiki kabla ya mchezo wa fainali ya pili ya Copa Libertadores kati ya watani wa jadi River Plate dhidi ya Boca Juniors.
 
Kutokana na hilo, ripoti zinadai Chelsea sasa ipo tayari kupokea ofa ya kumuuza Hazard, ambaye anaweza kutimkia kwenda kujiunga na Real Madrid kwenye dirisha lijalo la usajili ambalo litafanyika Januari mwakani.
 
Kwenye dirisha lililopita, staa huyo wa kimataifa wa Ubelgiji alihusishwa na mpango wa kwenda kujiunga na Los Blancos kabla ya dili hilo kushindwa kukamilika na Hazard kuendelea kubaki huko Stamford Bridge. Lakini baada ya kipigo cha juzi Jumamosi kutoka kwa Tottenham Hotspur kila kitu kimeibuka upya kuhusu Hazard kwenda kujiunga na Real Madrid kwenye usajili ujao.
 
Taarifa za kutoka Hispania zinadai Chelsea sasa inachowaza ni kukubaliana tu na ukweli Hazard auzwe aondoke. Chelsea inataka kumpiga bei Hazard ambaye anaonekana kutaka kurithi viatu vya Cristiano Ronaldo pale Madrid, kwenye dirisha la Januari kwa sababu inafahamu wazi itapata pesa nyingi kuliko kusubiri hadi mwisho wa msimu ambapo inaweza kumuuza kwa pesa kiduchu.
 
Romelu Lukaku (mara 19)

Staa huyu wa kimataifa wa Ubelgiji ni miongoni mwa mastaa watano wanaoendelea kucheza ambao wapo katika orodha hii. Msimu huu Lukaku amegongesha besela mara moja tu lakini kwa ujumla amegongesha mwamba mara 19.
 
Harry Kane (19)

Mmoja kati ya wafungaji bora zaidi katika Ligi Kuu ya England kwa sasa. Wakati mwingine anapoteza shabaha yake. Mpaka sasa staa huyu wa Tottenham Hotspurs amegongesha mwamba mara 19 akiwa sawa na staa wa Manchester United, Romelu Lukaku. Kama ilivyo kwa Lukaku ana nafasi zaidi ya kuendelea kugongesha miamba kwa sababu bado anakipiga
 
Back
Top Bottom