Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumeamua kumpa nafasi ya kucheza ili kupandisha kiwango chake. Nadhani akicheza na Chris Smalling wanafanya kuwa na balansi kwenye beki. Chris ni mrefu, hivyo ni mzuri kwenye mipira ya juu na Victor ni mzuri katika kuanzisha muvu, wawili hao wanaendana.”
 
Mourinho amekiri kukerwa na kiwango kilichoonyeshwa na wachezaji wake kwenye mechi dhidi ya Crystal Palace uwanjani Old Trafford kwamba mastaa wake hawajaonyesha uchu wa kutaka kushinda.
 
DIDIER Drogba amemtaja Gerard Pique kuwa ndiye beki bora aliyewahi kupambana naye kwenye maisha yake ya soka huku akiitaja pia pacha ya Rio Ferdinand na Nemanja Vidic huko Manchester United ilimpa shida sana.
 
Straika huyo wa zamani wa Chelsea aliyetangaza kutundika daruga zake hivi karibuni, atakumbukwa kama mmoja kati ya washambuliaji wakorofi uwanjani ambaye aliwapa wakati mgumu mabeki na makipa waliokuwa na kazi ya kumkabili kwenye nchi zote alizocheza soka lake kuanzia Ufaransa, England, Uturuki, China na Marekani.
 
Katika maisha yake ya soka, Drogba amekutana na mabeki wengi sana bora, lakini mwenyewe anakwambia Pique, anayekipiga kwenye kikosi cha Barcelona ndiye aliyemsumbua zaidi huku akiwataja wakali wengine, Vidic na Ferdinand kwamba walikuwa balaa zito.
 
Mtu wengine walikuwa (Carles) Puyol na Pique. Ferdinand na Vidic walikuwa hatari zaidi. Lakini, ukiniambia nichague beki mmoja, nitakwambia Pique kwa sababu ni mbishi kinoma.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…