Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

VPN - Virtual Private Network.

Ni teknolojia inayotumika kuunganisha mitandao iliyopo mbali kana kwamba ipo sehemu moja.Mfano:Ukiwa na ofisi Dar na tawi lingine likiwa Mwanza, kwa kutumia VPN unaweza kuziunganisha(kimtandao) ofisi zako zikawa kana kwamba zipo sehemu moja i.e ukaprint document ukiwa ofisi ya Dar(Computer yako ikiwa Dar) na karatasi ikatoka kwenye printer iliyopo ofisi za Mwanza n.k.Bila VPN hili haliwezi kufanyika(labda ujilipue na public IPs ...).

Teknolojia hii ya VPN ina matumizi mengine mengi ila inafanya kazi hivyo hivyo.Kama mkuu alivyogusia hapo juu, unaweza ukazichukulia hii mikoa miwili(ofisi mbili, Dar na Mwanza) kama nchi.Mfano ikitokea kuna website au app iliyofungiwa hapa nchini, kinachozuiwa mara nyingi ni utambulisho wa hiyo website (i.e IP address).Hizi IP address huwa zinasajiliwa/kusambazwa kwa nchi, kila nchi ina range yake.Hivyo kama website imefungiwa hapa nchini, inabidi utafute VPN yenye uraia/utambulisho wa nchi nyingine ili uweze kuifungua hiyo website i.e unaifungua hiyo website kana kwamba upo nchi nyingine kumbe upo TZ.
Asante kaka
 
Mashabik wa Liver walikuwa wanaongea sana msimu huu toka uanze,,mara msimu huh wana vikombe vitatu,,yaan epl,fa na uefa,, hahahaha sasa hv wakilete mchezo wanahamia kwenye ile michuano ya alhamis,,,Futuhi day[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahah! Jamaa kweli wanachonga sana wakati mpira wenyewe wanachezea mizuka tu
 
Back
Top Bottom