Msafir yupo vzr sana,,jamaa alikuwa anajuaKuna ile ngoma alimshirikisha Zillah ilikua nimesimama sana nilipenda zila alivyopita na kiitikio cha kinyamwezi sana, alafu Maulamaa alitembea na Punch lines za kutosha
Nikweli bro ila naona sasa hivi anatazama mambo mengine tuMsafir yupo vzr sana,,jamaa alikuwa anajua
Umr na majukum bro,,kuna vitu unafikia inabd unakuwa mpole tuNikweli bro ila naona sasa hivi anatazama mambo mengine tu
Maisha mengine lazima yaendelee, japo wengine wanakomaa kutokana na kwamba unakuta hawana kitu kingine cha kufanyaUmr na majukum bro,,kuna vitu unafikia inabd unakuwa mpole tu
Pamoja bro.Asante kaka