Msafiri KondoHoma ya dunia
Kipind cha nyuma baada ya kukomaa sana kutafuta visa,,,jamaa alitembea zake Uingeleza, yupo kule alishakuwa na familia tyl,,japo bado huwa natoa ngoma kiainaHakika...
Hivi yupo mjini au?
Kuna ile ngoma alimshirikisha Zillah ilikua nimesimama sana nilipenda zila alivyopita na kiitikio cha kinyamwezi sana, alafu Maulamaa alitembea na Punch lines za kutoshaKipind cha nyuma baada ya kukomaa sana kutafuta visa,,,jamaa alitembea zake Uingeleza, yupo kule alishakuwa na familia tyl,,japo bado huwa natoa ngoma kiaina