myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
11:35
#BringbackourSYB11:30
#BringbackourSYB
Hapana mkuu jamaa yupo huru kabisa sema tu yeye mwenyewe huwa ana mambo yake flani flani hivi huwa yanampoteza kwa muda....Jamaa kapigwa burn?
😀😀😀😀#BringbackourSYB
Hahahah atakuwa kafichwa na ile mizigo yake..[emoji124][emoji124][emoji124]😀😀😀😀
Mpaka ataachiwa huko alipofichwa
#BringbackourSYB
Soma Morning and Evening StarAhsante,
Sijaelewa Lucifer na Jesus Christ zimeingiaje hapo.Ntatafuta documentary ya ISIS nijifunze.I hope I ll find one.
A good day to you.
Ehhh Mwenye Enzi Mungu ibaraki nchi yetu kwa mvua nyingi 365 days walahi