capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Privacy Matters to civilized Ppl.
Wlider ana rekodi nzuri,,,pia Fury sio wa kumbeza ana rekodi poa pia,,,ila Wilder katisha aisee 39 KO
Angalia match na KO, Wilder match zote katoa KO isipokua Moja TU!Wlider ana rekodi nzuri,,,pia Fury sio wa kumbeza ana rekodi poa pia,,,ila Wilder katisha aisee 39 KO
[emoji16][emoji3][emoji3]Jamaaaani....We kaka una roho nzuriiii......Yani unanipa likes kabisa...Waaaaooow......Nnavyotupendaga tulikes sasa...Haya nshacomment
Angalia match na KO, Wilder match zote katoa KO isipokua Moja TU!
Tofauti na Furry KO 19 Kati ya Match 27, bado sana kuifikia record ya Wilder.
Ingawa najua kesho ataendlea kumwaribia record ake, sidhani kama atampiga kwa KO.
Hata wakipanda dau sidhan kama mchezaji atataka kucheza chini ya mou,na inavyoonekana juve wanaweza taka mabadilishano na pogbaAu wanataka tupande dau.? Nauhakika tutamchukua huyu Defender! What is Napoli at UNITED sight BTW
Dah! Skujua kama Mourhino bado ni tatzo kwa wachezaji.Hata wakipanda dau sidhan kama mchezaji atataka kucheza chini ya mou,na inavyoonekana juve wanaweza taka mabadilishano na pogba
ado jamaa hajafunguka ila wengi hawapendi cheza chini ya mouDah! Skujua kama Mourhino bado ni tatzo kwa wachezaji.
Umepata kuskia maoni ya huyo Defender.?